Lexicography in Kenya: A Historical Survey

  • M.D. Mageria Department of Linguistics, University of Nairobi, Kenya
Trefwoorden: kenya, kamusi, kiswahili, leksikografia isimu, matumizi ya kamusi

Samenvatting

<b>Muhtasari:</b> Katika kazi hii, tunajaribu kumulika maendeleo ya taaluma ya leksikografia nchini Kenya. Ingawa kuna takriban lugha zaidi ya hamsini nchini Kenya, hakujakuwepo na jitihada madhubuti za kutungia kila lugha kamusi yake hususan na Wakenya wenyewe. Baadaye makala yanaonyesha kuwa kumekuwepo na mwamko fulani kwani wataalam wengi wa Isimu sasa wameanza kutambua taaluma hii nchini Kenya. Kwa ufupi tumetaja historia ya leksikografia ya kiswahili, semina na hali ya utungaji kamusi kwa sasa hapa nchini. <b>Maneno muhimu:</b> kenya, kamusi, kiswahili, leksikografia isimu, matumizi ya kamusi
Citeerhulp
Mageria, M. (1). Lexicography in Kenya: A Historical Survey. Lexikos, 6(1). https://doi.org/10.5788/6-1-1050
Sectie
Lexikovaria/Lexicovaria